TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO  SHULE YA SEKONDARI ELIMIKA MWAKA 2025

Mkuu wa Shule  ya  Sekondari  ya ELIMIKA  iliyopo  katika mtaa MJIMWEMA, kata  ya MJIMWEMA . Anatangaza nafasi ya masomo kwa mwaka 2025. Shule ipo katika Manispaa ya Songea, mkoa wa Ruvuma Kilometa 2 kutoka Songea mjini katika  barabara ya kuelekea Hospital ya MJIMWEMA.

Shule ni ya jinsia zote WAVULANA na WASICHANA, Masomo yanayofundishwa ni Basic mathematics, biology, Physcis, Chemistry, Civics, History, Geography, English Language, Kiswahili na Literature in English.

Shule ina miundombinu itakayo mfanya mwanafunzi mda wote aweze kujifunza na kujiskia raha awapo shuleni, shule ina umeme, maji maktaba na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi. Shule itafunguliwa  tarehe 05 Januari 2025, unatakiwa  kuripoti  tarehe  iliyo tajwa bila  kukosa