Mkuu wa Shule ya Sekondari ya ELIMIKA iliyopo katika mtaa MJIMWEMA, kata ya MJIMWEMA . Anatangaza nafasi ya masomo kwa mwaka 2025. Shule ipo katika Manispaa ya Songea, mkoa wa Ruvuma Kilometa 2 kutoka Songea mjini katika barabara ya kuelekea Hospital ya MJIMWEMA.
Shule ni ya jinsia zote WAVULANA na WASICHANA, Masomo yanayofundishwa ni Basic mathematics, biology, Physcis, Chemistry, Civics, History, Geography, English Language, Kiswahili na Literature in English.
Shule ina miundombinu itakayo mfanya mwanafunzi mda wote aweze kujifunza na kujiskia raha awapo shuleni, shule ina umeme, maji maktaba na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi. Shule itafunguliwa tarehe 05 Januari 2025, unatakiwa kuripoti tarehe iliyo tajwa bila kukosa…READ MORE>>