• info@wilolesifoundation.or.tz
  • +255622865531
  • Address P. O BOX 818, Songea
  • 24 hours
WILOLESI
WILOLESI
Book Appointment
0

Cart

  • Home
  • About Us
  • Services
  • Membership
  • Events
  • TANGAZO LA MASOMO
  • Blog
  • Contact Us
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Membership
    • Events
    • TANGAZO LA MASOMO
    • Blog
    • Contact Us
  • Wilolesi

NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WILOLESI KWA MWAKA 2025/2026.

  • June 2, 2025
  • wilolesi
  • 5

Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Wilolesi kilichopo Halimashauri ya Manispaa ya Songea, Kata ya Matarawe Mtaa wa Sabasaba, ni chuo binafsi cha mchanganyiko ambacho kimeanzishwa kwa makusudi ya kutoa Elimu za afya. Kimesajiliwa kwa usajili REG/NACTVET/1177

Chuo kinatoa mafunzo kwa program mbili

  • Stashahada ya Famasia (Diploma in Pharmaceutical Sciences)
  • Stashahada ya Radiolojia (Diploma in Diagnostic Radiography)

Sifa za kujiunga

  • Stashahada ya Famasia (Diploma in Pharmaceutical Sciences) Mwanafunzi awe na ufaulu wa Kidato cha nne kwa alama D ya masomo manne yakiwemo masomo ya Chemistry, Biology na Mathematics.
  • Stashahada ya Radiolojia (Diploma in Diagnostic Radiography) Mwanafunzi awe na ufaulu wa Kidato cha nne kwa alama D ya masomo manne yakiwemo masomo yaPhysics, Chemistry na Biology.

Namna ya kuomba.

Wanafunzi wenye sifa wanaweza omba maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia website ya https://wilolesifoundation.or.tz/ na www.nactvet.go.tz pia unaweza pata msaada kwenye vituo vifuatavyo

  • Chuoni Wilolesi College of Health and Allied Sciences – matarawe Songea mjini.
  • Wilolesi medical Clinic – Songea mjini Ghorofa ya Mjomba Plaza
  • Mbeya College of Health and Allied Sciences – Mbeya Rufaa
  • Cavendish English Medium Primary Schools
  • Kwenye internet Café yeyote iliyokaribu
  • Chuo Chagua WILOLESI COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED
  • KWA MSAADA PIGA SIMU HIZO HAPO

Chuo   kitafunguliwa   October   2025,   Gharama   zetu   ni   nafuu   sana. Nyote mnakaribishwa.

BOFYA HAPA KUJIUNGA NA CHUO >>
Post Views: 209
  • Previous TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO SHULE YA SEKONDARI ELIMIKA MWAKA 2026
  • Next Functions and Duties of Board of Directors

5 comments on “NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WILOLESI KWA MWAKA 2025/2026.”

  1. admin says:
    November 21, 2018 at 11:19 am

    Separate the business entity from the owner

    Reply
    1. admin says:
      November 21, 2018 at 11:21 am

      Having a business name does not separate the business entity from the owner, which means that the owner of the business is responsible and liable for all debts incurred by the business.

      Reply
      1. admin says:
        November 21, 2018 at 11:22 am

        Having a business name does not separate

        Reply
  2. admin says:
    November 21, 2018 at 11:19 am

    The creditors can go after the owner\’s personal possessions.

    Reply
  3. admin says:
    November 21, 2018 at 11:19 am

    If the business acquires debts, the creditors can go after the owner\’s personal possessions

    Reply

Leave a Reply to admin Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recent Posts

  • TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO SHULE YA SEKONDARI ELIMIKA MWAKA 2026
  • NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WILOLESI KWA MWAKA 2025/2026.
  • Functions and Duties of Board of Directors

Search

Tags

Clinic Treatment
WILOLESI Site Statistics
  • Today's page views: : 0
  • Total visitors : 117
  • Total page views: 146

RECENT POST

  • TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO SHULE YA SEKONDARI ELIMIKA MWAKA 2026
  • NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WILOLESI KWA MWAKA 2025/2026.
  • Functions and Duties of Board of Directors

Opening Hours

  • Mon – Tue: 8.00 – 22.00
  • Wed – Thur: 8.00 – 22.00
  • Fri – Sat: 8.00 – 22.00
  • Saturday: 8.00 – 22.00
  • Sunday: 8.00 – 22.00

SignUp For Newsletter

© 2023 All Rights Reserved