Mkuu wa Shule ya Sekondari ya ELIMIKA iliyopo katika mtaa MJIMWEMA, kata ya MJIMWEMA . Anatangaza nafasi ya masomo kwa mwaka 2025. Shule ipo katika Manispaa ya Songea, mkoa wa Ruvuma Kilometa 2 kutoka Songea mjini katika barabara ya kuelekea Hospital ya MJIMWEMA. Shule ni ya jinsia zote WAVULANA na WASICHANA, Masomo yanayofundishwa ni Basic…