Shule ya sekondari ELIMIKA yenye namba ya usajili REG. S.5271 ni shule ya binafsi ya mchanganyiko ambayo imeanzishwa kwa makusudi ya kutoa Elimu Bora ya sekondari kwa watoto wa kike na kiume wanaopata nafasi ya kusoma katika shule hii. Fomu za kujijunga na shule zinapatikana maeneo yafuatayo ELIMIKA SEKONDARI MJIMWEMA –SONGEA MJINI WILOLESI MEDICAL CLINIC…
Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Wilolesi kilichopo Halimashauri ya Manispaa ya Songea, Kata ya Matarawe Mtaa wa Sabasaba, ni chuo binafsi cha mchanganyiko ambacho kimeanzishwa kwa makusudi ya kutoa Elimu za afya. Kimesajiliwa kwa usajili REG/NACTVET/1177 Chuo kinatoa mafunzo kwa program mbili Stashahada ya Famasia (Diploma in Pharmaceutical Sciences) Stashahada ya Radiolojia (Diploma in…
1. To make Rules and Regulations; 2. To protect and advance the image of the Organisation; 3. To recruit staffs; 4. To participate in developing Organisation’s Strategic plans; 5. To appoint auditor(s); 6. To convene projects to be carried out by Organisation, conduct or cause to be conducted feasibility studies for such project and submit…