[vc_row equal_height=”yes” content_placement=”top” el_id=”rs-skills” css=”.vc_custom_1563367465604{padding-top: 130px !important;padding-bottom: 130px !important;}”][vc_column width=”1/2″ css=”.vc_custom_1563453252459{padding-top: 0px !important;padding-right: 50px !important;}” el_class=”moblc-pr15″][vc_infobox title=”WILOLESI MARATHON”][/vc_infobox][vc_column_text]
Wilolesi Foundation inatarajia kuendesha mbio za hisani zitakazofanyika January 12, 2024 zitakazo julikana kama “Wilolesi Foundation Marathon” ikiwa na lengo la kuchangia ununuzi wa vifaa tiba kwa ajili ya wodi ya Watoto wachanga katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea. Kauli mbiu yam bio hizi ni: “Kimbia kuokoa Maisha ya watoto wachanga”. Tukio hili litapata ufuatiliaji makini wa wadau mablimbali na hadhira kwa ujumla kupitia vyombo mbalimbali vya Habari kama runinga, redio, mitandao ya kijamii.
LENGO KUU
Kutoa msaada wa vifaa tiba kwaajili ya Watoto wachanga Hospaitali ya Rufaa ya Mkoa Songea.
Malengo Mahsusi
- Kuhimiza michezo ya kukimbia kwaajili ya kujenga afya mwili na akili.
- Kusaidia shirika na wadau kufikia malengo huku wakisaidia kukoa Maisha ya Watoto wachanga.
- Kuongeza kufahamiana na marafiki wapya
- Kusheherekea siku ya Mapinduzi ya Zanzibar
[/vc_column_text][/vc_column][vc_column width=”1/2″ css=”.vc_custom_1565159595466{padding-top: 0px !important;padding-right: 30px !important;background-position: center !important;background-repeat: no-repeat !important;background-size: cover !important;}” el_id=”about”][vc_infobox title=”ENEO LA KUKIMBIA” title_case=”true” css=”.vc_custom_1702147829716{margin-top: 30px !important;}”]
KM 21: Zitaanza uwanja wa Majimaji kuelekea Bomba mbili kupitia Barabara ya Njombe, kutoka Bombambili kuelekea matarawe kupitia Matarawe kupitia Barabara ya mwembechai kuelekea kituo cha Afya Mji mwema kisha kuelekea Kituo cha polisi cha Lizaboni kupitia Barabara ya Pachanne kisha kuingia Barabara ya Mbambabay- Mtwara kuelekea Uwanja wa ndege kisha kurudi Mjini kupitia Barabara ya Mbambabay-Mtwara mpaka benki ya CRDB kisha kuelekea Uwanja wa Majimaji kupitia njia panda ya Mahenge.
KM 10: Zitaanza uwanja wa Majimaji kuelekea Bomba mbili kupitia Barabara ya Njombe, kutoka Bombambili kuelekea matarawe kupitia Matarawe kupitia Barabara ya mwembechai kuelekea kituo cha Afya Mji mwema kisha kuelekea Kituo cha polisi cha Lizaboni kupitia Barabara ya Pachanne kisha kuingia Barabara ya Mbambabay- Mtwara kuelekea Buhemba kisha kuelekea Uwanja wa Majimaji kupitia Barabara ya Wella.
KM 5: Zitaanza uwanja wa Majimaji kuelekea Bomba mbili kupitia Barabara ya Njombe, kutoka Bombambili kuelekea matarawe kupitia Barabara ya Matarawe kisha kurudi Uwanja wa Majimaji kupitia Barabara ya Manzese.
[/vc_infobox][vc_button_title rs_button=”Read More” rs_button_link=”#” buttoncolor=”#ffffff” bnt_border=”#021b79″ bnt_background=”#021b79″ bnt_background_hover=”#092591″ bnt_hover_text=”#ffffff”][/vc_column][/vc_row][vc_row full_width=”stretch_row” css=”.vc_custom_1565172119235{padding-top: 85px !important;padding-bottom: 100px !important;}”][vc_column][vc_infobox title=”LATEST NEWS” align=”text-center” css=”.vc_custom_1563432027312{margin-bottom: 40px !important;}”][/vc_infobox][vc_row_inner][vc_column_inner][vc_rsBlog blog_meta=”yes” blog_information=”yes” blog_cat=”yes” blog_date=”yes” excerpt_limit=”17″ cat=”eye-care,medical,treatment” col_sm=”2″ col_xs=”1″ slider_nav=”true” slider_autoplay=”false” slider_autoplay_speed=”200″][/vc_column_inner][/vc_row_inner][/vc_column][/vc_row]