
Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Wilolesi kilichopo Halimashauri ya Manispaa ya Songea, Kata ya Matarawe Mtaa wa Sabasaba, ni chuo binafsi cha mchanganyiko ambacho kimeanzishwa kwa makusudi ya kutoa Elimu za afya. Kimesajiliwa kwa usajili REG/NACTVET/1177
Chuo kinatoa mafunzo kwa program mbili
- Stashahada ya Famasia (Diploma in Pharmaceutical Sciences)
- Stashahada ya Radiolojia (Diploma in Diagnostic Radiography)
Sifa za kujiunga
- Stashahada ya Famasia (Diploma in Pharmaceutical Sciences) Mwanafunzi awe na ufaulu wa Kidato cha nne kwa alama D ya masomo manne yakiwemo masomo ya Chemistry, Biology na Mathematics.
- Stashahada ya Radiolojia (Diploma in Diagnostic Radiography) Mwanafunzi awe na ufaulu wa Kidato cha nne kwa alama D ya masomo manne yakiwemo masomo yaPhysics, Chemistry na Biology.
Namna ya kuomba.
Wanafunzi wenye sifa wanaweza omba maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia website ya https://wilolesifoundation.or.tz/ na www.nactvet.go.tz pia unaweza pata msaada kwenye vituo vifuatavyo
- Chuoni Wilolesi College of Health and Allied Sciences – matarawe Songea mjini.
- Wilolesi medical Clinic – Songea mjini Ghorofa ya Mjomba Plaza
- Mbeya College of Health and Allied Sciences – Mbeya Rufaa
- Cavendish English Medium Primary Schools
- Kwenye internet Café yeyote iliyokaribu
- Chuo Chagua WILOLESI COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED
- KWA MSAADA PIGA SIMU HIZO HAPO
Chuo kitafunguliwa October 2025, Gharama zetu ni nafuu sana. Nyote mnakaribishwa.
Separate the business entity from the owner
Having a business name does not separate the business entity from the owner, which means that the owner of the business is responsible and liable for all debts incurred by the business.
Having a business name does not separate
The creditors can go after the owner\’s personal possessions.
If the business acquires debts, the creditors can go after the owner\’s personal possessions